Je mlemavu ana haki ya kupata miundombinu wezeshi ya kupata habari? Kwa mujibu wa kifungu namba 38 cha sheria ya watu wenye ulemavu, mlemavu anayo haki ya miundombinu wezeshi ya kupata habari. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi